Header Ads

Watu zaidi ya 60 wafariki kwa Tetemeko nchini Mexico




Zaidi ya watu  60 wamefariki dunia baada ya kadhia ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa 8.2 kwa kipimo cha Richter kulikumba eneo la pwani ya kusini ya Mexico.

Rais wan chi hiyo  Enrique Pena Nieto amesema kimbuka hicho ni kimoja kati ya vimbunga vyenye nguvu zaidi vilivyowahi kurekodiwa nchini mwake.

Nieto amesema wanajeshi 1,800 wamepelekwa katika maeneo yaliyoathirika kwa ajili ya kutoa huduma na kwamba ametahadharisha kutokea matetemeko zaidi

No comments