Header Ads

MWANZA- Jengo refu kuliko majengo yote Mwanza


Mwanza ni Jiji  la pili kwa ukubwa ukiacha Dar na inawezekana Idadi ya majengo marefu yakawepo Dar es salaam kwa wingi ukilinganisha na miji mingine Tanzania, NSSF Mwanza wanajenga Hotel ambayo ni ya Nyota tano na litakuwa ndio jengo refu kuliko yote kwa Mwanza ujenzi umeanza mwaka 2013 mwishoni na utakamilika November mwaka huu.
Hili jengo linajengwa maeneo ya Capri Point, Urefu wake ni ghorofa 17 kwenda juu vyumba  vya kulala  168,(Standard type,Exacutive type,Diplomatic,Presidential suit,Loyal suit) Pia kuna Gym fitness,Spur  Lift 11 kwa Flow tofauti tofauti  na uwazi juu au nafasi ya kutua Helkopita kwa juu(Helpad)

Hizi ni baadhi ya picha za Jengo hilo liliko Mwanza








No comments