Header Ads

DIAMOND AKIHOJIWA NA BBC

Msanii wa Bongo fleva nchini Tanzania Diamond Plutnumz alinya mahojiano na kituo cha Habari cha Wingereza cha BBC na Mtangazaji Salim Kikeke wakati akitambulisha shoo kubwa atakayoenda kuifanya mwezi Disemba na uzinduaji wa Albam yake ya YOUNG FROM TANDALE.

Hapa nimekusogezea video akiwa na Salim Kikeke.

Subscribe uwe karibu nastori za kila siku na you tube chanel ya Mwanza 24.

No comments