Header Ads

Kenyatta aapishwa kuongoza Kenya muhula wa pili



Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameapishwa kuongoza Kenya kwa muhula wa pili katika sherehe ambayo ilisusiwa na viongozi wa upinzani.

Akihutubu baada ya kula kiapo uwanjani Kasarani, Nairobi kiongozi huyo alisema ameyasikia baadhi ya mapendekezo ya upinzani na atazingatia baadhi.


No comments