Header Ads

UKIFANIKIWA HAYA HUJITOKEZA



Mafanikio huja na changamoto zake. Wakati unapambana kutafuta mafanikio hakuna mtu anayekuwa anakusaidia na kukushauri. Pia hakuna anayeweza kukuelezea juu yako, Lakini unapofanikiwa kila mtu anakuwa na uwezo wa kukuelezea juu yako jinsi ulivyopambana mpaka kufikia hapo pasipo hata kukujua/Kukufahamu ulivyopambana.Simamia ulipofikia na lenga mbali. MEENA ALI MALKIA WA NGUVU

Subscribe Mwanza 24 twende pamoja nami.

No comments