Header Ads

Mbowe alivyotinga Mahakamani kusikiliza kesi ya Sugu






Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Freeman Aikael Mbowe, amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.
 Mbowe ameongozana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Sophia Mwakagenda kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo na tayari ameingia kwenye chumba cha Mahakama.
Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ anakabiliwa na kesi kutoa maneno ya uchochezi pamja na Katibu wa Chadema kanda ya Nyasa Emanuel Masonga














No comments