Header Ads

MELI YENYE BENDERA YA TAIFA LA TANZANIA YAKAMATWA UGIRIKI

Serikali ya Ugiriki imeikamata meli yenye usajili wa Tanzania, ikielekea nchini Libya huku imebebea vifaa vya kutengeneza silaha.
Huku ikumbukwe kuwa Umoja wa Mataifa na Ulaya uliweka vikwazo vinavyozuia kuuza au kupeleka silaha Libya tangu mwaka 2011.
Je, Nini chanzo cha Meli za mataifa mengine kutumia bendera ya Tanzania?

No comments