Header Ads

PICHA KUMI ZA BABU SEYA IKULU.

Katika kuuanza mwaka mpya vizuri wa 2018 leo Januari 2, 2018 Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) aliamua kwenda Ikulu jijini Dar es Salaam akiwa na watoto wake Papii Nguza (Papii Kocha),Francis Nguza pamoja na Nguza Mbangu na kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwa ajili ya kumshukuru
Mzee Nguza Vicking (Babu Seya) alishushukuru rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Dkt.John Pombe Magufuli kwa kuwaachia huru kutoka jela baada ya kufungwa kwa hukumu ya  kifungo cha Maisha.Na baadae kuonesha furaha yao na huku wakiahidi kuanza kufanya kazi kama sera ya HAPA KAZI TU.mara baada ya kuruhusiwa waendelee na kazi zao za muziki.
Picha kwa Hisani ya Ikulu.

No comments