Header Ads

HABARI PICHA; RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKIONDOKA KWENDA UGANDA



Rais John Pombe Magufuli akisindikizwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwenye uwanja wa ndege wa Mwl. Nyerere tayari kuelekea Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kampala

Rais Dk.John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali waliomsindikiza uwanja wa ndege kuelekea nchini Uganda

No comments