Header Ads

KAMWE SIJAWAHI KUHONGA- MCHUNGAJI, SEHEMU YA 1

     Hayo yamesemwa na Mchungaji Gift Hamfrey  Februari 23,2018 wakati akitoa  mfano katika semina ya siku moja kwa wanachuo wa chuo cha uandishi wa Habari wa chuo cha The Arusha East African Training Institute mkoani Arusha huku akiwaasa wawe watii, waaminifu na kutumia pesa vizuri wanazotumiwa na wazazi wawapo chuoni.

     Ameongeza pia wajifunze kuwekeza fedha kidogo kidogo kwa ajili ya matumizi ya baadae pindi wamalizapo masomo yao kwani wakimaliza masomo hawatategemea tena wazazi wao katika suala la matumizi binafsi.

    Aidha amewataka wawe wacha Mungu na kutambua uwepo wa Mungu katika maisha ya hapa duniani na kuuthamini mwili kwa kuepukana na changamoto za maisha yakila siku.



FULL VIDEO IKO HAPA CHINI

No comments