Header Ads

BREAKING NEWS: ABDUL NONDO AACHIWA KWA DHAMANA

Leo March 26, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Abdul Nondo ambaye alikuwa anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Iringa.

Abdul Nondo amepewa masharti ya dhamana  ni wadhamini wawili  mmoja mtumishi wa Serikali na wote wawe wakazi wa Iringa na bondi ya kauli Tshs Milioni 5.
Hivyo atarudi Mahakamani April 10, 2018 kuendelea na kesi yake.

No comments