Header Ads

GAMBO AWAPA WIKI MBILI WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHA ARUSHA~1



Image result for mrisho gambo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewapa siku 14 wafanyabiashara na wawekezaji walipo mkoani humo wawe wamewameshajiandikisha katika zoezi la vitambulisho vya taifa kwa wale ambao hawana mpaka sasa hivi kuongeza kuwa mashine zipo za kutosha na zoezi la kawaida la kata kwa kata litaendelea palepale.

JIONEE VIDEO HAPA

No comments