Header Ads

NDEGE YA TANZANIA ILIYOKUWA CANADA IMESHAONDOKA NCHINI HUMO KUJA TANZANIA

Kwa Mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Gerson Msigwa amesema Ndege ya Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini Canada imeshaondoka nchini humo na inarejea Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Msigwa ameandika na  kuongeza kuwa Ndege 3 kubwa, Mbili aina ya Bombardier CS300 kutoka Canada na Moja Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani zitawasili baadae mwaka huu

No comments