Header Ads

Rais Magufuli kupokea magari 181 ya kusambazia dawa nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kesho Machi 26, 2018 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kupokea magari 181 ambayo yatakuwa yakitumika kusambaza madawa vijijini na mjini

Taarifa hiyo iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas imeweka wazi kuwa Rais Magufuli ndiye atakuwa mgeni rasmi na kuzindua magari hayo 181 yaliyopo chini ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD).

"Mageuzi Sekta ya Afya yanaendelea, usikose hafla ya kupokea magari mapya 181 kufikisha dawa na vifaa tiba zaidi mijini na vijijini" alisema Dkt Abass
SOURCE: MPEKUZI

JIUNGE NA  PASCHALDLUCA.BLOGSPOT.COM SASA

 Jiunge nami kupitia , FACEBOOK,INSTAGRAM  na TWITTER @paschaldlucas  ili kupata habari zote zinazotokea Usikose kujiunga  YOUTUBE  na  kuangalia video zote kali kutoka Mwanza 24 Media

No comments