Header Ads

WABUNGE, MADIWANI WA CHADEMA WAANDAMANA KWENDA OFISI ZA UMOJA WA ULAYA

Wabunge wa Chadema, leo mchana Machi 29, 2018 wameandamana kwenda ofisi za Umoja wa Ulaya (EU).Wabunge hao wamekwenda katika ofisi hizo kulalamikia kile wanachofanyiwa viongozi sita wa chama hicho akiwamo mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe waliopo mahabusu.
Lowassa arejea, Mbowe na vigogo Chadema hawajafikishwa mahakamani.
Baadhi ya wabunge hao ni, Peter Liajualikali (Kilombero), David Silinde (Momba), Jesca Kishoa (viti maalumu) na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

No comments