Header Ads

RAIS MAGUFULI AWAJIBU WANAODAI UPOTEVU WA TRILION 1.5

Rais Joh Magufuli amewanyanyua Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG),  Profesa Mussa Assad na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James kueleza kama kuna upotevu wa Sh 1.5 trilioni kama inavyodaiwa.

Rais Magufuli aliwataka watendaji hao waeleze hilo leo Ijumaa Aprili 20, Ikulu wakati akizungumza baada ya kumaliza kuwaapisha majaji wapya kumi aliowateua hivi karibuni.

No comments