Header Ads

Wasafi TV Iko Hewani....Channel 122 Azam TV

Kituo kipya cha runinga cha Wasafi TV leo Aprili 02, 2018 kimeanza kurusha matangazo yake mubashara kupitia ving’amuzi mbalimbali kikiwemo cha Azam TV

Akithibitisha taarifa hizo, Diamond Platnumz ambaye ndiye mmiliki na muanzilishi wa kituo hicho, amesema kuwa matangazo hayo yameanza kuonekana kuanzia leo na kwa watumiaji wa king’amuzi cha Azam, Wasafi TV itapatikana namba 122 .

Hata hivyo, bado haijajulikana kama Wasafi TV itapatikana kwenye ving’amuzi vingine zaidi ya Azam TV.

No comments