Mfahamu mtu mwenye vidole vingi Duniani
Devendra Suthar.
Kazi zake za Useremala anazifanya bila tatizo na vidole vyake havimsumbui wakati wa utendaji wake wa kazi.
Na Paschal D. lucas
Ni vigumu kuamini! Raia wa Himatnaga, Gujarat nchini India, Devendra Suthar amebainika kuwa ndiye mtu aliye hai mwenye vidole vingi zaidi vya mikononi na miguuni. Devendra ambaye ni fundi seremala ana vidole 14 vya mikono na 14 vya miguuni hivyo jumla kuwa na vidole 28 hivyo kuweka rekodi katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness
No comments