Polisi yapiga marufuku maombi ya Lissu
Saa chache baada ya Baraza la vijana CHADEMA kutangaza kufanya maombezi maalum kwaajili ya Tundu Lissu na Viongozi wote wa Taifa, Jumapili 17/9/2017,katika uwanja wa TP, Sinza, Jijini Dar es salaam. Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam SACP Lazaro Mambosasa amepiga marufuku na kuongeza kuwa watakao kiuka watajikuta mikononi mwa Polisi.
No comments