Header Ads

HABARI MAALUMU ARUSHA WANAVYOISAIDIA JAMII



Siku ya ijumaa wiki hii kituo maarufu ndani na nje ya nchi cha Habari Maalum Media(HMM) zamani kikifahamika kama Radio Habari Maalum chenye makao makuu yake Ngaramtoni jijini Arusha nchini Tanzania kilitembelewa na wanafunzi toka The Arusha East African Training Institute na kuona kinavyosaidia jamii kwa kutoa huduma za kiroho na kimwili.

No comments