Header Ads

WALIMU, WAZAZI NA WALEZI KUWENI MACHO NA HILI



Tuwe na tahadhari kwa watoto  hasa wanapokuwa kwenye michezo yao. Bila shaka hakuna mzazi au mlezi anayeweza kufurahia kwa kumwona mwanae kakubwa na dhoruba kali mbele ya macho yako.Wito kwa jamii kila mmoja wetu awe mlinzi kwa mtoto juu ya michezo mibaya ya kukimbilia vyombo vya moto.Kila mmoja wenu awe kiongozi wa mtoto wa mwenzako.

No comments