Header Ads

MAZOEZI NI AFYA SEHEMU YA 4







Halafu kuna gharama na yale yanayodhaniwa kuwa matatizo. Wakimbiaji wanahitaji mavazi na viatu vinavyofaa. Ili kuimarisha misuli, unahitaji vyuma au mashini za kipekee za mazoezi. Huenda ukahitaji pesa nyingi ili kujiandikisha katika klabu fulani cha michezo. Inaweza kuchukua wakati mwingi kwenda kwenye klabu cha michezo. Hata hivyo, mambo hayo hayapaswi kukuzuia kufanya mazoezi na hivyo kupata manufaa ya afya.MWANZA24

No comments