Header Ads

MAZOEZI NI AFYA

Mazoezi ni sehemu ya maisha na mazoezi humfanya mtu kuwa imara kiafya na kumfanya mtu aonekane kijana japo umri umeenda.
Mwili wa binadamu waweza kufananishwa na nyumba inayojengwa, nyumba hujengwa kwa matofali, simenti, chokaa na malighafi nyingine nyingi, na inahitaji ukarabati wa mara kwa mara ili iendelee kuwa nyumba bora, nyumba iliyoachwa kukaliwa na binadamu huchakaa haraka na pengine hubomoka kabla ya wakati wake. Mwili wa binadamu nao kama ilivyo nyumba una mahitaji yake, unahitaji chakula bora ili uendelee kubaki katika hali ya afya nzuri
Hapa nimekusogezea picha za wanachuo wa chuo cha The Arusha East African Institute  akifanya mazoezi na kuunga mkono agizo la Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan


No comments