DK. MZEE WA 900 ITAPENDEZA JINSI ALIVYOINGIA KWAKE AKITOKA POLISI
Ni baada ya kuachiwa na polisi huku akijidhamini mwenyewe. Alifika nyumbani kwake na kupokelewa na waandishi wa Habari huku Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam likimtaka aripoti mara kwa mara kituo kikuu cha Polis cha Dar es Salaam.
Ikikumbukwe kuwa ndiye aliyekwamisha mnada wa mauzo wa nyumba za Luguma.
Ikikumbukwe kuwa ndiye aliyekwamisha mnada wa mauzo wa nyumba za Luguma.
No comments