Header Ads

WANACHUO WATIMIZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

Wanachuo kutoka The Arusha East African Training Institute kilichopo Arusha wakifanya mazoezi ikiwa ni kutimiza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Suluhu Hassani la kufanya mazoezi kwa kila mtanzania, hapo ikiwa ni ratiba yako ya kila siku za Ijumaa ya kila wiki.

Mazoezi hayo yakisimamiwa na Mwalimu wa mazoezi kutoka chuo hicho Bw.Davis Ochola.

Jionee video hii na Usubscribe Youtube chanel hii ya Mwanza 24 ili uwe karibu na stori zote.

No comments