Header Ads

KARIBU YOU TUBE CHANEL YA Mwanza 24.



IJUE FAIDA YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO.

Kwa hali hiyo Tekinolojia ya Habari na Mawasiliano  imezalisha mitandao ya kijamii ambayo inatoa fursa ya watu kuweza kujadiliana kuhusu masuala ya siasa, uchumi, afya, biashara na mambo kadha  wa kadha ya kijamii. Fursa hiyo inaruhusu mawasiliano baina ya mtu au watu kutoka maeneo mbalimbali duniani.
Tanzania inakisiwa kuwa na watumiaji wa  huduma za intaneti zaidi ya milioni 20, wengi wao wakiwa vijana hasa wanaoishi maeneo ya mijini.
Hii ina maana kuwa kundi kubwa la vijana wa kitanzania wana fursa ya kutumia mitandao ya kijamii katika kufanya shughuli mbalimbali ambazo zinaweza kuwaletea faida faida katika maisha yao ya kila siku pamoja na kukuza uchumi wa Taifa

No comments