Header Ads

RAIS MAGUFULI ASEMA HAKUTUMIA CCM OYEE WALA CHADEMA OYEE



Rais John Pombe Magufuli amesema hayo leo Oktiba 31,2017 alipokuwa akiwasalimu na kuongea na wananchi wa Kona ya Butimba jijini Mwanza Rais John Pombe Magufuli alisema anataka maendeleo kwa Tanzania na maendeleo hayana chama

No comments