Header Ads

Mhitimu wa darasa la saba atengeneza mtambo wa kufua Umeme.



Ukosefu wa nishati ya umeme katika baadhi ya maeneo ya nchi zinazoendelea ni suala ambalo limezoeleka na Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoathirika na tatizo hili haswa katika maeneo ya vijijini.

John Mwafute almaarufu Mzee Pwagu,mbunifu aliyeshia darasa la 7 ambaye aliamua kuwa mzalishaji wa umeme kwa kutengeneza mtambo wake binafsi na kusambaza kwenye vijiji vinanavyomzunguka katika mkoa wa Njombe na lilondo ,mkoa wa Ruvuma.

Subscribe Mwanza 24 Media iliuwe karibu na stori zote za kila siku


No comments