Header Ads

MKULIMA ROSHA MBELE YA RAIS MAGUFULI



Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameagiza mamlaka zinazohusika na mamlaka ya mazingira kuacha kuwabughudhi wananchi wanaolima pembezoni mwa mito, Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na wananchi wa Misenyi mkoani Karagwe.

No comments