Header Ads

WAKURUGENZI WATUMBULIWA BUKOBA



Rais John Pombe Magufuli amewabana wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya na manispaa ya Bukoba akitaka kujua matumizi ya fedha za mfuko wa barabara zilizopelekwa huku baadhi  ya viongozi wakishindwa kutoa majibu  leo Novemba 6, 2017 wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera.

Usisahau kusubscribe you tube Chanel ya Mwanza 24 uwe karibu na stori zote za kila siku.

No comments