Header Ads

MAMA ALIYEKUWA ANATAFUTWA NA RC MAKONDA AFIKA OFISINI KWAKE



Baada ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuripoti taarifa kuhusu mama mjane  anaedaiwa kudhulumiwa,leo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh.Paul Makonda amemwita Mama Mjane huyo ofisini kwake kisha kumkutanisha na Wanasheria  wa mkoa na kubaini utapeli mkubwa uliotumika kuuza nyumba hiyo kutokana na watu kufoji nyaraka ikiwemo sahihi ya Mwenyekiti wa mtaa huku nyumba hiyo ikiwa na zuio la mahakama.Mama huyo Mjane amemshukuru Mkuu wa mkoa kwa kumtatulia suala lake hilo la muda mrefu.

No comments