Header Ads

BINADAMU MREFU NA MFUPI ZAIDI DUNIANI WAONEKANA PAMOJA

Binadamu mrefu na Binadamu mfupi zaidi Duniani walionekana katika Piramidi za Giza zilizoko Misri.
Januari 26, 2018 Sultan Kosen toka Uturudi ndiye mwanaume na Binadamu mrefu kuliko wote duniani.Ana umri wa miaka 35 na anakimo cha urefu wa futi 8 na inchi 2.82 sawa na sentimita 251
Jyoti Amge toka India ndiye mwanamke na Binadamu mfupi zaidi kuliko wote duniani.Ana umri wa miaka 24 na kimo cha urefu cha inch 24 ambayo ni sawa na sentiment 64.
Sultan Kosen na Jyoti Amge walionekana nyuma ya sanamu hiyo ya Sphinx na Piramid ya Khafre maarufu kama Chephren.
Picha by AFC via BBC

No comments