Header Ads

KABURI LA ZAIDI YA MIAKA 4, 400 LAONEKANA CAIRO

Kutoka nchi inayoongoza kuwa na kivutio cha Piramidi cha Giza nazungumzia Misri. Mwanza 24 Media inakufahamisha kuwa
Kaburi la miaka zaidi ya 4,400 limegunduliwa mjini Cairo , inasemekana kaburi hilo bila shaka liliandaliwa katika kipinidi cha  firauni,  ambacho kilikuwa cheo cha wafalme wa zamani wa nchi ya Misri kutokana na historia ya bara la Afrika.
Waziri mwenye dhamana na masuala ya  historia nchini Misri Bw.Halid el-Anani , alifahamisha katika mkutano ambao ulihudhuriwa  na mabalozi kutoka katika mataifa tofauti, alisema kuwa kaburi la miaka zaidi ya  4,400 limegunduliwa El-Cebane huko Misri.

No comments