Header Ads

RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI UGANDA

Kutoka Nchini Uganda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika uwanja wa ndege wa Entebe mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ambao ulimalizika hapo jana jijini Kampala nchini Uganda.
Rais Magufuli ameonekana akisindikizwa na viongozi mbalimbali toka nchi ya Uganda

PICHA KWA HISANI YA IKULU

No comments