Header Ads

RAIS ZUMA AMEJIUZULU

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Urais kwa manufaa ya Chama chake cha ANC na Wananchi wa Afrika Kusini.
Zuma ametangaza hadharani kujiuzulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika matangazo yaliyokuwa yanarushwa LIVE.
Uamuzi wa Zuma umekuja kutokana na msukumo uliokuwa unatolewa na Chama chake pamoja Bunge la nchi hiyo.

No comments