TCRA YAPOKEA TAARIFA YA NYIMBO KUTOKA BASATA NA KUPIGWA MARUFUKU ZISIPIGWE REDIONI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania [TCRA] imepokea Orodha ya nyimbo zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa [BASATA] na kuzuia zisipigwe kwenye chombo chochote cha habari hapa nchini kutokana na kutokuwa na maadili na Maudhui.
Nyimbo hizi zisome hapa chini kwenye barua hii

No comments