Header Ads

Breaking News:LOWASSA ARUDI TENA MAHAKAMA YA KISUTU

Kutoka Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amerejea tena mahakamani  mchana huu akiwa na Ndg. Mgeja.

Awali, Lowassa na Sumaye  waliondoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya muasisi wa Chadema, Victor Kimesera. 

Hadi mchana huu watuhumiwa wote wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe ambao wapo gerezani Segerea waliokuwa waletwe Kisutu, hawajaletwa.

 Baada ya sintofahamu ya kutofikishwa mahakamani kwa viongozi hao, mahakama ilisema itatoa uamuzi mchana huu.

No comments