Header Ads

VIDEO: NI MARUFUKU KWA ASKARI KUFYEKA NA KUCHOMA BANGI-RAIS MAGUFULI-ARUSHA

Rais Magufuli amesema kuwa Askari Polis hawakuajiriwa kwa lengo la kwenda kufyeka bangi bali kama kuna shamba la bangi katika kijiji wakamatwe wanakijiji wote wa kijiji hicho ndiyo wakafyeke na kuchoma bangi hiyo mpaka suala la bangi liishe.



Ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria kwenye uwanja wa sheck Amri Abed Arusha.

JIONEE VIDEO HAPA CHINI

SUBSCRIBE














No comments