Header Ads

NDEGE YAPATA AJALI



Kutoka Saud Arabia imeelezwa kuwa Watu wanne wanripotiwa kufariki katika ajali ya ndege iliotokea katika mbuga ya al Khunfa siku ya Jumanne.
Taarifa hiyo imetolewa na  uongozi wa mbuga hiyo jangwani imeeleza kuwa miongoni mwa wahanga katika ajali hiyo ni mkurugenzi wa mbuga hiyo na kiongozi wa marubani waliokuwa kwenye ndege.

Mkurungezi wa al Khunfa Saud al Shamri  na Jodeid al Shamlani, rubani msaidizi  Mohammed bin Mofleh Qathami na Mojzaa al-Shamri wamefariki katika jali hiyo.

Mpaka sas hakuna taarifa ilitolewa kuhusu sababu zilizopelekea kutokea kwa ajali hiyo.

No comments