Header Ads

ABUU MKALI AJA NA NYIMBO MPYA, AMTAJA DOGO D NA WENGINE,ISIKILIZE HAPA

Katika tasnia ya muziki wa bongo fleva usipomtaja msanii mkongwe kama ABUU MKALI aliyetamba kipindi cha nyuma na ngoma ya ASELA na BONGO MOVIE toka jijini Mwanza utakuwa hujakamilisha list.Leo kwenye kipindi cha JAM SESSION CHA METRO FM ametambulisha ngoma yake mpya inayoitwa SAMBE

Hii hapa isikilize full interview



No comments