Header Ads

SAFARI YA KWANZA YA DREAMLINER 787-800 MWANZA

Baada ya kupokelewa jijini Dar es salaam  ndege ya shirika la ATCL aina ya BOEING Dream liner 787-800 na Rais Dkt.John Pombe Magufuli  ndege hiyo imefanya safari yake ya kwanza jijini MwANZA.Hapa ni mkuu wa mkoa wa Mwanza JOHN MONGELLA akiwakaribisha wananchi kwenda kuipokea ndege hiyo.





No comments