Header Ads

VIDEO :TID AKATAA KUITWA LEGEND BASATA NDIYO WAMWITE,ASEMA AMEFANYA KAZI NA ROM...

Msanii wa bongo fleva TID amekataa kwa mara nyingine kuitwa  mkongwe kwenye mziki adai heshima hiyo apewe na  Baraza la sanaa Tanzania yaani BASATA na si mtu mwingine kwenye mitandao. Adai kupitia RADAR wasanii wengi sana wamepitia akimtaja Romy Jones kuwa DJ wake kabla hata ya kufanya kazi na Diamond.








No comments