Header Ads

WASANII WENGI WA BONGO NI WAONGO,JI HAJULIKANI NJE MATONYA HAJAWAHI KUWA...

Msanii wa Bongo flava na tajiri wa Mahaba Cassim Mganga amesemawasanii wengi wa kibongo ni waongo hawapendi kusema ukweli juu ya maisha yao.Ameongeza kuwa msanii JI aliyetamba na kibao cha kidato kimoja hajulikani nje ya nchi na pia hajawahi kuwa na ushikaji wowote na Matonya.



No comments