Header Ads

POLISI YAELEZEA AJALI YA WAZIRI HAMIS KIGWANGALA

Kamanda wa polisi mkoa wa  Manyara Agustino Senga amesema kuwa Dr.Kigwangala aliejeruhiwa  vibaya maeneo ya kifuani  na dereva wake wamelezwa katika kituo cha Afya Magugu kwa matibabu.




Taarifa za awali kutoka kwa kamanda wa polisi Agustino Senga  zinaeleza kuwa ajali hiyo imesababishwa na mnyama aliekuwa akivuka bara bara eneo la Magugu. 


No comments