Header Ads

Mtawa Suzan afariki baada ya kujirusha gorofani BUGANDO





Mtawa huyo amefariki dunia asubuhi  ya leo Agosti 28,2018 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitali na kupelekea kuumia maeneo ya kiuno na mgongo.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo  Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza naibu Kamishna msaidizi wa Polisi  Jonathan Shana amesema kuwa chanzo cha tukio hilo bado kinachunguzwa lakini uchunguzi wa awali unaonesha  kuwa katika ofisi aliyokuwa akiifanyia kazi marehemu ambayo alikuwa kiongozi zipo tuhuma za upotevu wa fedha zaidi ya milioni mia tatu ambazo zilipelekea baadhi ya watumishi wenzake  kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi na wengine kupelekea kufukuzwa kazi.

No comments