Fursa za ufadhili wa masomo kutoka SUZA
Na Paschal D.Lucas
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha sayansi cha Norway (NMBU) pamoja na chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatangaza nafasi za ufadhili wa masomo (scholarship) kwa ngazi ya shahada ya uzamili katika Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa mwaka wa masomo 2017/18
No comments