Kura za kutokuwa na Imani na Rais zaanza klabu ya Barcelona
Wakati klabu ya Barcelona ikiendelea kuwa kwenye presha kubwa tangu wamuuze Neymar Dos Santos lakini kuna jambo lingine kubwa linaendelea nyuma ya pazia ambapo inamuhusisha raisi wa Barcelona Josep Maria Bortomeu.
Agusti Benedito ni mmoja kati ya watu wa ngazi za juu katika uongozi wa klabu ya Barcelona na amemua kuanza kupigwa kwa kura za kukosa imani na raisi huyo wa Barcelona huku Benedito akianza kukusanya sahihi za baadhi wajumbe wa klabu hiyo.
Bededito alikuwa na siku 14 kukusanya sahihi hizo ambazo inatakiwa ziwe 15% asilimia ambazo ni karibia na sahihi 16,500 ya wajumbe wote huku Benedito akisema zoezi hilo limeanza vyema.
Benedito anasema ndani ya siku tano tu walizoanza kusaka kura hizo tayari wamepata kura 15,000, “tulianza kutafuta ushirikiano kupitia mitandao na ndano ya mtandao tu tayari tumeshapata watu 15,000 wanaotuunga mkono”
Kilichompelekea Benedito kuanzisha zoezi la kupiga kura ya kukosa imani na Bortomeu ni masula yanayoendelea ndanibya klabu hiyo ikiwemo suala la Lioneil Messi kutosaini mkataba mpya ambapo Beneditto anadai raisi huyo ameishindwa klabu.
“Bortomeu badala ya kuitisha mkutano amekuwa akifanya tu mahojiano, huku ukiacha Messi lakini suala la Iniesta haifahamiki itakuwaje, mimi sitaki kuona Barcelona ikishindwa na siko tayari kwa hilo” alisema Benedito.

No comments