Header Ads

HITIMISHO LA MBIO ZA MWENGE NA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWL.NYERERE

KWA UFUPI.

Jumamosi ya leo Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge kitaifa ambapo pia aliungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein.











PICHA NA  MICHUZI BLOG

No comments