Header Ads

HABARI PICHA: MSANII AY AFUNGA NDOA UFUKWENI

Nimekulete picha za matukio katika ndoa ya Msanii wa Bongo Fleva Ambwene Yesaya(AY)
Msanii huyo amefunga ndoa jana Februari 24, 2018 na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.
Shughuli nzima za kufunga ndoa hiyo zimefanyika  katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar Es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa mablimbali wakiwemo na Watangazaji kama vile:-Lady Jaydee, Mwana FA, Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph Haule), Fid Q na wengineo wengi.
Jionee baadhi ya  picha za tukio hilo

No comments