Header Ads

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU KIGANGO CHA MLIMANI CHATO

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Jionee picha akiwa kanisani hapo.

No comments